MHE. RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA MAKAMPUNI IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 3 October 2024

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA MAKAMPUNI IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Bw. Sakumzi Macozoma pamoja na ujumbe wake mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Oktoba, 2024.

No comments:

Post a Comment