TTCL YAPELEKA SHANGWE LA BURUDANI KWA WAKAAZI WA PAJE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 24 August 2024

TTCL YAPELEKA SHANGWE LA BURUDANI KWA WAKAAZI WA PAJE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AFDB) Dkt. Akinwumi A. Adesina pamoja na viongozi mbalimbali wakati akiangalia vikundi mbalimbali vya burudani pamoja na Wasanii wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar, TTCL wameshiriki kufanikisha burudani hizo pia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake pamoja na viongozi mbalimbali wakati akiangalia vikundi mbalimbali vya burudani na Wasanii wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar, TTCL wameshiriki kufanikisha burudani hizo.

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Paje Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024. Tamasha hilo lilifanikishwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kushirikiana na wadau wengine.

Shamrashamra na shangwe za burudani kwa wakaazi wa Paje Mjini Zanzibar zikipamba moto ikiwa ni sehemu ya Tamasha kubwa la Kizimkazi, linalofanyika Paje Mjini Zanzibar, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeshiriki kufanikisha burudani hizo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na wageni wake mbalimbali kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Paje Zanzibar.

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeendelea kunogesha shangwe la burudani kwa wakaazi wa Paje Mjini Zanzibar ikiwa ni mwendelezo wa kufanikisha shamrashamra za Tamasha kubwa la Kizimkazi, linalofanyika mjini hapa. Shangwe hilo la burudani lilisindikizwa na burudani kabambe kutoka kwa wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (bongofleva) na zenjifleva.

Mgeni Rasmi katika tamasha hilo la burudani alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye aliwaongoza wananchi, viongozi mbalimbali waalikwa na wapenzi wa burudani hizo kushiriki kikamilifu kwenye Tamasha hilo linaloendelea kukuza shughuli anuai za kiuchumi na kijamiia, mjini Zanzibar.

Vikundi mbalimbali vya burudani pamoja na Wasanii maarufu walikuwa kivutio kikubwa pale walipopanda jukwaani kutumbuiza kunogesha usiku wa Bongo na Zenji Flavor, Mjini Zanzibar.

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Paje Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024. Tamasha hilo lilifanikishwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kushirikiana na wadau wengine.

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza kwenye usiku wa Bongo na Zenji Flavor katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Paje Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024. Tamasha hilo lilifanikishwa na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kushirikiana na wadau wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wageni na viongozi mbalimbali kwenye tamasha hilo.

Shamrashamra na shangwe za burudani kwa wakaazi wa Paje Mjini Zanzibar zikipamba moto ikiwa ni sehemu ya Tamasha kubwa la Kizimkazi, linalofanyika Paje Mjini Zanzibar, Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limeshiriki kufanikisha burudani hizo.

No comments:

Post a Comment