RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANENANE, KITAIFA DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 8 August 2024

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANENANE, KITAIFA DODOMA

Picha za matukio mbalimbali kwenye kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima katika viwanja vya Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa kadi janja ya mkulima mara baada ya kuzindua kwenye kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria Makabidhiano ya Zana mbalimbali za Kilimo Matrekta 519, Power Tiller 800, Majembe ya kulimia 200 wakati wa kilele cha Maonesho ya Wakulima Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Kiwanda cha kuunganisha Matrekta katika eneo la Nzuguni wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane, tarehe 08 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment