RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA TAASISI YA MUSUALA YA ELIMU DUNIANI (GPE) DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 4 June 2024

RAIS MSTAAFU NA MWENYEKITI WA TAASISI YA MUSUALA YA ELIMU DUNIANI (GPE) DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA VIKAO VYA BODI HIYO MJINI BERLIN, UJERUMANI

 

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) a kibadilishana mawazo na wajumbe wakati wa mapumziko ya Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 - 6 Juni, 2024.

Vikao vya Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) vikiendelea chini ya Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi   hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 - 6 Juni, 2024.

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education) - GPE)  akiwa na Mhe. Svenja Schulze, Waziri wa Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo wa Ujerumani aliyeshiriki katika ufunguzi wa vikao hivyo. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GPE Bi. Laura Fringeti.


Mheshimiwa Dkt. Jakaya Kikwete,  Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education - GPE) akiongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 4 - 6 Juni, 2024.

No comments:

Post a Comment