TANZANIA RENEWABLE ENERGY ASSOCIATION (TAREA)
TANGAZO
Maonesho Wiki ya Nishati Jadidifu,
JUNI 6-7, 2024
Jumuiya
ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA), kwa kushirikiana na Wizara ya
Nishati kwa udhamani mkuu wa SUN KING, inawaalika Wananchi wote katika Maonesho
ya Kitaifa ya Nishati Jadidifu (Renewable Energy) yatakayofunguliwa Alhamisi Juni 6 na Naibu
Waziri Mkuu na Waziri Nishati, Dk Doto Biteko na kufungwa na Waziri wa Kilimo,
Husein Bashe Ijumaa, Juni 7, mwaka huu.
Kaulimbiu
ya Mwaka huu ni: NISHATI JADIDIFU KWA UCHUMI SHIRIKISHI NA WA KIJANI (RENEWABLE
ENERGY FOR INCLUSIVE AND GREEN ECONOMY)
Wiki
ya Nishati Jadidifu itakuwa na maonesho yanayohusisha Umeme wa Jua yaani Sola,
Upepo, Joto-ardhi na majiko banifu sambamba na warsha yenye mada mbalimbali
kuhusu nishati jadidifu.
Wadau
wa maendeleo, kampuni na taasisi binafsi na serikari watakuwa katika mabanda
kutoa elimu na kuuza bidhaa mbalimbali za nishati jadidifu kutoka kwa wataalamu
waliobebea.
Wadhamini
wengine wa Maonesho hayo yatakayofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Julius Nyerere Posta, Dar es Salaam ni Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU),
Expertise France, Ensol, GOGLA, Tanesco, Wakala wa Nishati Vijijini (REA), AECF
na UNDP
HAKUNA KIINGILIO.
WOTE MNAKARIBISHWA.
Kwa taarifa zaidi piga 0765 098 462.
Tanzania
Renewable Energy Association(TAREA)
Plot
1080, Mandela Road, Mabibo External,
Export Processing Zone Authority
Shopping
Arcade 17,
P.O.
Box 32643,16106 Dar es Salaam, Tanzania.
No comments:
Post a Comment