WAZIRI MAKAMBA APOKEA TAARIFA MAALUM YA KUTATHMINI HALI YA UTUMISHI - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Sunday, 26 November 2023

demo-image

WAZIRI MAKAMBA APOKEA TAARIFA MAALUM YA KUTATHMINI HALI YA UTUMISHI

 

1%20(27)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akipokea taarifa Maalum ya kutathmini hali ya utumishi, majengo na uwakilishi katika Balozi zote za Tanzania kutoka kwa Kamati Maalum iliyoongozwa na Balozi Saidi Othman Yakubu katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *