TUME YA UCHAGUZI NANE NANE KANDA YA KATI DODOMA...! - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 3 August 2023

TUME YA UCHAGUZI NANE NANE KANDA YA KATI DODOMA...!

 


Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakiwapa maelezo wanafunzi wa Shule ya Msingi Hijra ya Jijini Dodoma wakati walipotembelea banda la Tume katioka Maonesho ya Wakulima Nane Nane Kanda ya Kati yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. (Picha na Mroki Mroki).

Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini, Jabir Shekimweri akiwasikiliza maafisa wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wakati Mkuu hyyo wa Wilaya alipotembelea banda la Tume katioka Maonesho ya Wakulima Nane Nane Kanda ya Kati yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. (Picha na Mroki Mroki).

No comments:

Post a Comment