RAIS WA INDONESIA AWASILI NCHINI TAYARI KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU MBILI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 21 August 2023

RAIS WA INDONESIA AWASILI NCHINI TAYARI KWA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU MBILI

 

Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Mheshimiwa Joko Widodo akipokelewa na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku mbili Tarehe 21 - 22 Agosti, 2023. (Picha na Wizara ya Mambo ya Nje).

No comments:

Post a Comment