RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU MAKAMPUNI YA VODACOM AFRIKA BW. SHAMEEL JOOSUB IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 12 August 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU MAKAMPUNI YA VODACOM AFRIKA BW. SHAMEEL JOOSUB IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake tarehe 11 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Afrika Bw. Mohamed Shameel Joosub aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment