RAIS SAMIA AWAANDALIA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA KUTOKA CALIFORNIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 13 August 2023

RAIS SAMIA AWAANDALIA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA MADAKTARI BINGWA WA MIFUPA KUTOKA CALIFORNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha za Wanafunzi wa Shule ya St. Lucky Vincent waliopata ajali tarehe 06 Mei, 2007 kutoka kwenye simu ya mmoja ya Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Kevin Negaard, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, viongozi wengine wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment