RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA 15 WA BRICS UNAOFANYIKA JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 24 August 2023

RAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA 15 WA BRICS UNAOFANYIKA JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa China Mhe. Xi Jinping kando ya Mkutano wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa nchi na Serikali kwenye Mkutano wa 15 wa BRICS unaofanyika Jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini tarehe 24 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment