UJENZI WA GATI BANDARI ZA KIBIRIZI NA UJIJI KUKAMILIKA OKTOBA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 29 July 2023

UJENZI WA GATI BANDARI ZA KIBIRIZI NA UJIJI KUKAMILIKA OKTOBA

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kijavara, kuhusu hatua za ujenzi wa gati la Bandari ya Ujiji, wakati alipokagua maendeleo ya mradi huo Mkoani Kigoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa gati la Ujiji, Mkoani Kigoma.


Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa gati la Ujiji ambalo ujenzi wake umefikia asilimia zaidi ya 80 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu, Mkoani Kigoma.

Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa gati la Kibirizi lenye urefu wa takribani mita 259 ambalo ujenzi wake umefikia asilimia zaidi ya 80. Mkoani Kigoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akiangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi wa gati la Kibirizi Mkoani Kigoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa gati la Kibirizi  Mkoani Kigoma.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa (mwenye shati jeupe) akimsikiliza Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kijavara, kuhusu hatua za ujenzi wa gati la Kibirizi, wakati alipokagua maendeleo ya mradi huo Mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment