RAIS Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO NA WATENDAJI WA MSAJILI WA HAZINA NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 15 April 2023

RAIS Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO NA WATENDAJI WA MSAJILI WA HAZINA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati akielekea kwenye Kikao na Watendaji wa Msajili wa Hazina Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2023.

No comments:

Post a Comment