Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha Udhibiti wa Nishati kwa Afrika Mashariki Geoffrey Mabea Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 4 kwa ajili ya matumizi ya Chama hicho katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwanachama Mkazi wa Baraza la Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS) Moses Mahuna Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 5 bure kwa ajili ya matumizi ya Chama hicho cha Wanasheria kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) John Bosco Kalisa Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 3 bure bila malipo yoyote kwa ajili ya Baraza hilo Jijini Arusha tarehe 03 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Peter Mathuki Hati ya Umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 125 bure bila malipo yoyote kwa ajili ya Jumuiya hiyo mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Ndogo ya Arusha tarehe 03 Machi, 2023.

DKT. MWIGULU AKUTANA NA MAWAZIRI WA MAJI NA FEDHA
-
*WAZIRI *Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 03, 2026 amefanya
mazungumzo na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Fedha, Balozi,
Khamis Omar kat...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment