![]() |
| Hafla ya uzinduzi ikiendelea katika Hoteli ya Four Points by Sheraton jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Mratibu wa TEN/MET taifa, Bw. Ochola Wayoga akizungumza na wageni waalikwa kuelezea kwa kina namna Mpango Mkakati wa TEN/MET uliozinduliwa utakavyofanya kazi. |
![]() |
| Meza kuu katika hafla ya maadhimisho ya miaka 23 ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET) na uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Miaka 5 ya taasisi ya TENMET ikigonganisha glasi kufurahia uzinduzi huo. |










No comments:
Post a Comment