RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI (WISH), NCHINI QATAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 4 October 2022

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA UBUNIFU WA AFYA DUNIANI (WISH), NCHINI QATAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika ufunguzi wa Mkutano wa Ubunifu wa Afya Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini Qatar tarehe 04 Oktoba, 2022.

No comments:

Post a Comment