Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Buseresere na Katoro Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. |
Kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme wa 220/33kv kilichozinduliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. |
Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. |
No comments:
Post a Comment