MSHINDI NMB CDF TROPHY 2022 AKABIDHIWA KOMBE NA JENERALI MKUNDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 4 October 2022

MSHINDI NMB CDF TROPHY 2022 AKABIDHIWA KOMBE NA JENERALI MKUNDA

 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe na zawadi mshindi wa Jumla wa mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, Cpl ,Malius Kajuna, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania , Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Abdallah Gunda kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na wateja Binafsi, Bw. Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa Malawi, Generali Vincent Nundwe.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda akimkabidhi Kikombe mshindi kutoka timu ya NMB, Bw. Sigfrid Ophishas kwenye mashindano ya NMB CDF TROPHY 2022, yaliyofanyika katika viwanja vya Golf Lugalo, Dar es Salaam. Kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi, Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Majeshi wa  Malawi, Generali Vincent Nundwe.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda pamoja na Afisa Mkuu wa Biashara na Wateja Binafsi Benki ya NMB, Filbert Mponzi, Mkuu wa Majeshi nchini Malawi, Generali Vicent Nundwe na viongozi wa Club ya Golf Lugalo wakipiga picha ya pamoja na washindi mbalimbali kwenye hafla ya utoaji zawadi wa washindi wa Mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania 'NMB CDF Trophy 2022, jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment