VIFAA NA ZAWADI NMB MARATHON 2022 'MWENDO WA UPENDO' VYATANGAZWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 21 September 2022

VIFAA NA ZAWADI NMB MARATHON 2022 'MWENDO WA UPENDO' VYATANGAZWA

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Bw. Emmanuel Akonaay (wa pili kushoto) akionesha vifaa vya kisasa vitakavyotumika kwa washiriki wa NMB Marathon 2022 'Mwendo wa Upendo' kwa ajili ya kuchangia wagonjwa wa Fistula Hospitali ya CCBRT. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya NMB Marathon 2022, Bi. Mercy Nyange, Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe, pamoja na Meneja wa NMB Jogging Club, Bi. Stella Meto (wa kwanza kulia).

 

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Bw. Emmanuel Akonaay akionesha medali za washiriki wa NMB Marathon 2022 'Mwendo wa Upendo' kwa ajili ya kuchangia wagonjwa wa Fistula Hospitali ya CCBRT. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya NMB Marathon 2022, Bi. Mercy Nyange, Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe, pamoja na Meneja wa NMB Jogging Club, Bi. Stella Meto (wa kwanza kulia).

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Bw. Emmanuel Akonaay (wa pili kushoto) akionesha medali za washiriki wa NMB Marathon 2022 'Mwendo wa Upendo' kwa ajili ya kuchangia wagonjwa wa Fistula Hospitali ya CCBRT. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya NMB Marathon 2022, Bi. Mercy Nyange, Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe, pamoja na Meneja wa NMB Jogging Club, Bi. Stella Meto (wa kwanza kulia).

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya NMB Marathon 2022, Bi. Mercy Nyange pamoja na Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe, wakizungumzia maandalizi.

Afisa Mkuu wa Rasilimali Watu Benki ya NMB, Bw. Emmanuel Akonaay akizungumza akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuelezea maandalizi ya NMB Marathon 2022 'Mwendo wa Upendo' kwa ajili ya kuchangia wagonjwa wa Fistula Hospitali ya CCBRT. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Idara ya Bima Benki ya NMB, Bw. Martin Massawe, pamoja na Meneja wa NMB Jogging Club, Bi. Stella Meto (kushoto).

No comments:

Post a Comment