RAIS SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA ENEO LA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WA NCHI YA MSUMBIJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 21 September 2022

RAIS SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA ENEO LA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA WA NCHI YA MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuweka shada la Maua katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora Machel.

Viongozi mbalimbali kutoka Tanzania wakiwa katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuweka shada la Maua katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora Machel.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kuweka shada la Maua katika eneo la Kumbukumbu ya Mashujaa wa nchi ya Msumbiji (Mozambican Heroes’ Square) lililopo Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 2022. Mhe. Rais Samia aliweka Shada hilo kwa Heshima ya kuwakumbuka Mashujaa wa Msumbiji akiwemo Rais wa Kwanza wa Nchi hiyo Hayati Samora Machel.

No comments:

Post a Comment