MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI KUFANYIKA JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 15 September 2022

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAHANDISI KUFANYIKA JIJINI DODOMA

Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB), Eng. Bernard Kavishe akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yanayotarajiwa kufanyika Septemba 22-23 jijini Dodoma.

Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB), Eng. Bernard Kavishe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Siku ya Wahandisi yanayotarajiwa kufanyika Septemba 22-23 jijini Dodoma, leo jijini Dar es Salaam.

Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB), Eng. Bernard Kavishe akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi yanayotarajiwa kufanyika Septemba 22-23 jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment