RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA IPINDA, KYELA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 7 August 2022

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA IPINDA, KYELA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ipinda, Kyela baada ya kufungua Barabara ya Kikusya-Ipinda-Matema km 39 katika hafla fupi iliyofanyika Ipinda, Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment