ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA MKOANI MBEYA, AZINDUWA MIRADI MBALIMBALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 7 August 2022

ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA MKOANI MBEYA, AZINDUWA MIRADI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa kuashiria uzinduzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Mpuguso Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Kikusya-Ipinda-Matema km 39 katika hafla fupi iliyofanyika Ipinda, Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Kasumulu baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha pamoja cha Forodha Kasumulu Wilayani Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Tukuyu Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment