KILELE CHA TAMASHA LA KITAIFA LA UTAMADUNI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 4 July 2022

KILELE CHA TAMASHA LA KITAIFA LA UTAMADUNI...!

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa akikabidhi Zawadi kwa  Vikundi vya Ngoma za Asili vilivyofanya vizuri vikiongozwa na Mkoa wa Mwanza, wakifuatiwa na Lindi na mshindi wa tatu ni Mkoa wa Magharibu kutoka Zanzibar katika  kucheza ngoma za Asili kwenye  Tamasha la kwanza la Kitaifa la Utamaduni lililofanyika Julai 01 hadi 03,Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment