Mmoja ya wakufunzi kutoka Shirika la Amref Health Africa akiendelea kutoa elimu ya usimamizi na uratibu kwa wakufunzi wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.
Mmoja ya wakufunzi kutoka Benk ya NMB akiendelea kutoa elimu ya usimamizi na uratibu kwa wakufunzi wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.
Mmoja ya wa washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa fedha akiendelea kupata elimu ya usimamizi na uratibu wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.

Baadhi ya wa washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa fedha wakiendelea kupata elimu ya usimamizi na uratibu wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.
Mmoja ya wakufunzi kutoka Shirika la Amref Health Africa akiendelea kutoa elimu ya usimamizi na uratibu kwa wakufunzi wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.
Baadhi ya wa washiriki wa mafunzo ya usimamizi wa fedha wakiendelea kupata elimu ya usimamizi na uratibu wa vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa WAWE katika kata za mradi.
Na Fredy Mgunda, Iringa
SHIRIKA la Amref Health Africa linaendelea na
utekelezaji wa miradi yake miwili, iliyopo Iringa ambako ni pamoja na
Mradi wa usafi wa mazingira na uwezeshaji wanawake na mradi wa Maji na
Maendeleo.
Kushirikiana na vyombo vingine vya usimamizi na uratibu vinashiriki
katika ufunguzi na uendeshaji wa semina ya siku tatu kwa wakufunzi wa
vikundi vya kijamii na vya wajasiriamali kutoka vijiji 67 vya mradi wa
WAWE katika kata za mradi.
Semina hii inalenga kufundisha elimu ya
usimamizi wa fedha na uongozi kwenye vikundi, uundaji wa umoja wa
usimamizi wa vikundi kwenye vijiji vya mradi pamoja na kuandaa mpango
kazi wa usimamizi wa vikundi na utoaji taarifa kwa kila mwezi.
Mradi wa usafi wa mazingira na uwezeshaji wanawake. (WAWE- Wash and
Women Empowerment)- unaotekelezwa katika jamiii zinazolima chai na
kahawa katika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi na Kilolo. Mradi huu wa
mwaka mmoja unafadhiliwa na Starbucks Foundation na kutekelezwa na
shirika la Amref Health Africa.
Mradi huo unalenga kuboresha afya na
ustawi wa kiuchumi wa wanawake na vijana 87,500 katika jamii zinazolima
kahawa na chai katika wilaya za Kilolo na Mufindi. Utekelezaji wa mradi
huu utaondoa vikwazo vya elimu, afya bora, lishe endelevu na usafi wa
vyoo na maji salama.
No comments:
Post a Comment