Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiagana na viongozi mbalimbali wa Benki ya CRDB mara baada ya kuzungumza nao katika viwanja vya Agha Khan Jijini Dar es Salaam. |
Viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB yaliopo Palm Beach, Mkabala na Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment