BENKI YA CRDB YAWAPA SOMO LA FEDHA WAMACHINGA DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 22 February 2022

BENKI YA CRDB YAWAPA SOMO LA FEDHA WAMACHINGA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi, Stephen Adili akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Wamachinga iliyoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. Mafunzo haya yamehudhuriwa na Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es salaam (Machinga Saccos) na baadhi ya wawakilishi wa wafanyabiashara hao kutoka Mikoa yote Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano tulionao kati ya Benki yetu na wafanyabiashara wadogo (Wamachinga).

Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga Mkoa wa Dar es salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga Mkoa wa Dar es salaam, Steven Lusinde akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Wamachinga mkoa wa Dar es salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.






No comments:

Post a Comment