RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA WA KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA MIAKA 10 YA TAMKO LA LONDON NA KUZINDUA TAMKO LA KIGALI ULIOFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO, IKULU DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 27 January 2022

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DUNIA WA KUSHEREHEKEA MAFANIKIO YA MIAKA 10 YA TAMKO LA LONDON NA KUZINDUA TAMKO LA KIGALI ULIOFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO, IKULU DODOMA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Dunia wa kusherehekea  Mafanikio ya Miaka 10 ya Tamko la London na Kuzindua Tamko la Kigali uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ikulu Chamwino Mkoani leo tarehe 27 Januari, 2022.

No comments:

Post a Comment