ASANTENI SANA KWA UZALENDO MABALOZI WETU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 1 December 2021

ASANTENI SANA KWA UZALENDO MABALOZI WETU

 

 Novemba 27, 2021 RSA Tanzania imeshiriki tukio la kufunga maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani na kukabidhi ripoti ya utekelezaji wa shughuli zetu tulizofanya katika wiki ya maonyesho kwa mlezi wetu, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani ndugu SACP Mutafungwa.

No comments:

Post a Comment