WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, DKT. ASHATU KIJAJI AKIZUNGUMZIA MIAKA 60 YA UHURU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 17 November 2021

WAZIRI WA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI, DKT. ASHATU KIJAJI AKIZUNGUMZIA MIAKA 60 YA UHURU

 

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). Wengine ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Jim Yonazi (kulia). (Picha na WHMTH).

Baadhi ya Waandishi wa Habari wakisikiliza kwa umakini mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara). (Picha na WHMTH).



No comments:

Post a Comment