MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI JIJINI NEW YORK MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 21 September 2021

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA KUHUSU MABADILIKO YA TABIANCHI JIJINI NEW YORK MAREKANI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi UNHCR Bw. Filippo Grand, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021. PICHA NA IKULU.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Mhe. Rebbeca Nyandeng Garang, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Comoro Mhe. Azali Assouman, walipokutana Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoka katika Ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021, baada ya kushiriki mkutano uliojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa nje ya Ukumbi wa mikutano wa Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 20,2021, baada ya kushiriki mkutano uliojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula. Kushoto ni Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa New York Marekani Balozi Kennedy Gaston.

No comments:

Post a Comment