MHE. RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA HIMO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 6 September 2021

MHE. RAIS SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA HIMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Himo Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani akielekea Marangu kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

Wananchi wa Himo Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani kumlaki Rais Samia akielekea Marangu kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Himo Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani akielekea Marangu kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment