MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 8 August 2021

MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza Mawaziri kusimama kwa dakika moja kwa ajili ya kumkumbuka aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hayati Elias John Kwandikwa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Agosti 07,2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment