MHE. RAIS SAMIA AWASILI IKULU KIGALI RWANDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday 2 August 2021

MHE. RAIS SAMIA AWASILI IKULU KIGALI RWANDA

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitambulisha Ujumbea aliofuatana nao katika ziara yake ya siku mbili Nchini Rwanda kwa Rais Paul Kagame alipowasili Ikulu Kigali Nchini Rwanda Leo Agosti 02,2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride rasmi la Jeshi la Rwanda alipowasili Ikulu Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.


Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais Paul Kagame  wa Rwanda alipowasili Ikulu Kigali Rwanda leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame. IKULU.


Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwa katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipowasili Ikulu Kigali Rwanda Leo Agosti 02,2021 kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali ya Siku mbili kwa mwaliko wa Rais Kagame.

No comments:

Post a Comment