MHE. RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA NCHI MBALIMBALI HAPA NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 26 August 2021

MHE. RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATEULE WA NCHI MBALIMBALI HAPA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Guinea hapa nchini mwenye makazo yake Nchini Addis Ababa, Ethiopia  Mhe. Gaussou Toure, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Wiebe Jokob De Boer, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini Mhe. Binaya Srikanta Pradhan, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Nigeria hapa nchini Mhe. Hamisu Umar Takalmawa Ikulu Jijini Dar es salaam leo Agosti 25,2021.

No comments:

Post a Comment