ZIARA YA KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM, BUSOKELO - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 12 July 2021

ZIARA YA KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM, BUSOKELO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akimpa pole Bi. Tumpale Kilasi ambaye amefiwa na Mume wake Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Asifiwe Brown Mwanjisi kilichotokea jana huko Mwakaleli Kandete, Busokelo wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya 2 ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya Julai 12, 2021.


 
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka akikagua maendeleo ya ujenzi ya Maabara katika Shule ya Sekondari ya wasichana Busokelo, wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya 2 ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya Julai 12, 2021. (Picha na CCM Makao Makuu).


No comments:

Post a Comment