WANANCHI WAZIDI KUTEMBELEA BANDA LA BODI YA MIKOPO KUPATA HUDUMA ZA PAPO KWA PAPO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 8 July 2021

WANANCHI WAZIDI KUTEMBELEA BANDA LA BODI YA MIKOPO KUPATA HUDUMA ZA PAPO KWA PAPO

 

Afisa Mikopo Mkuu wa HESLB, Tuli Madhehebi akimhudumia mmoja wa wateja waliotembelea Banda la HESLB  Julai 7, 2021 katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.


Afisa Mikopo wa HESLB, Nicolaus Kasamia akiwasiliza wateja mbalimbali waliotembelea   Banda la HESLB  Julai 7, 2021 katika maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.


Maafisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu Juu (HESLB), Rosada Fredrick na Nicolaus Kasamia wakitoa ufafanuzi kwa Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Atlas ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea banda la HESLB Julai 7, 2021 katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.


No comments:

Post a Comment