BODI YA MIKOPO YASHIRIKI MAONESHO YA 16 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 28 July 2021

BODI YA MIKOPO YASHIRIKI MAONESHO YA 16 YA TCU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Afisa Mawasiliano HESLB, Jacqueline Msuya akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kisutu wakati walipotembelea Banda la HESLB leo Jumatano Julai 28, 2021, katika maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mawasiliano, HESLB Jacqueline Msuya akitoa ufafanuzi kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumatano Julai 28, 2021, katika maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mwandamizi Uchambuzi wa Mifumo ya TEHAMA, HESLB Mahanga Lameck akitoa ufafanuzi kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumatano Julai 28, 2021, katika maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wananchi na wadau mbalimbali wakisoma taarifa kuhusu mwongozo wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, wakati walipotembelea Banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumatano Julai 28, 2021 katika Maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment