WASHINDI WA DROO KUBWA YA SHEREKEA NA TIGOPESA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 9 June 2021

WASHINDI WA DROO KUBWA YA SHEREKEA NA TIGOPESA WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO

MANDELA MSHINDI MILIONI 10!
Ile DROO KUBWA ya #SherehekeaPesaNaTigo Mandela Erio- Mmoja wa washindi 10 wa Milioni 10, walifanya miamala ya Tigo na sasa wameshinda Pesa kutoka Tigo.

TABASAMU LA LUCY & MILIONI 10 #SherehekeaPesaNaTigo Lucy Komu (Sinza) ni mmoja wa washindi 10 wa Milioni 10. Kupitia World Remit amekuwa akipokea pesa kutoka nje ya nchi moja kwa moja akaunti yake ya Tigo pesa kirahisi na haraka & sasa anasherehekea Pesa kutoka Tigo.

No comments:

Post a Comment