RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA MISUNGWI MKOANI MWANZA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 15 June 2021

RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA MRADI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA MISUNGWI MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe kuzindua mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni katika hafla iliyofanyika Misungwi mkoani Mwanza leo tarehe 14 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada kuzindua mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungulia maji kama ishara ya uzinduzi wa mradi wa Maji utakaohudumia Mji wa Misungwi na maeneo ya pembezoni leo tarehe 14 Juni, 2021.

No comments:

Post a Comment