RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA CHELEZO BANDARI YA MWANZA SOUTH MKOANI MWANZA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 15 June 2021

RAIS SAMIA SULUHU AZINDUA CHELEZO BANDARI YA MWANZA SOUTH MKOANI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kwa pamoja Meli ya MV New Victoria pamoja na New Butiama ambazo zimekarabatiwa katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta na kukata utepe kuzindua Chelezo ambacho kinatumika kutengeneza Meli mpya ya MV Mwanza katika sherehe zilizofanyika katika Bandari ya Mwanza South mkoani Mwanza leo tarehe 15 Juni, 2021.

No comments:

Post a Comment