RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA WILMAR INTERNATIONAL YA SINGAPORE KUOK KHOON HONG, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 18 June 2021

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA MAKAMPUNI YA WILMAR INTERNATIONAL YA SINGAPORE KUOK KHOON HONG, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Juni, 2021.



No comments:

Post a Comment