RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 25 June 2021

RAIS MHE. SAMIA AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC) DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Jude Thaddeus Ruwa’ichi mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 25 Juni, 2021. Katikati ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya ambaye pia ni Rais wa TEC Askofu Gervas Nyaisonga na wakwanza kulia ni Askofu Augustine Shao kutoka Jimbo Katoliki Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya ambaye ni Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Askofu Gervas Nyaisonga mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu (TEC) Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 25 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC katika ukumbi wa AMECEA Kurasini mkoani Dar es Salaam leo 25 Juni, 2021.

Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini mkoani Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment