MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 29 June 2021

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu siku 100 tangu kuingia Madarakani, leo Juni 28,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Wahariri wa Vyombo vya Habari wakiwa katika mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia kuhusu siku 100 tangu kuingia Madarakani.

No comments:

Post a Comment