UTT AMIS YATOA MAFUNZO JUU YA UWEKEZJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TANROADS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 8 May 2021

UTT AMIS YATOA MAFUNZO JUU YA UWEKEZJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TANROADS

Mwezeshaji Daudi Mbaga kutoka UTT AMIS akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wapya wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS juu ya Uwekezaji wa Pamoja  mkoani Morogoro.
 
Baadhi ya wafanyakazi wa TANROADS wakipata mafunzo juu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Daudi Mbaga wa UTT AMIS.




No comments:

Post a Comment