RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 1 May 2021

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wafanyakazi mbalimbali katika Kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa ambazo zimefanyika Jijini Mwanza leo tarehe 01 Mei, 2021 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Sehemu ya Wafanyakazi waliohudhuria kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambayo Kitaifa imefanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini  Mwanza. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Jijini Mwanza leo tarehe 01 Mei, 2021 kwa ajili ya kuhudhuria kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambayo Kitaifa imefanyika Mkoani Mwanza.

Sehemu ya Wafanyakazi waliohudhuria kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambayo Kitaifa imefanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini  Mwanza. PICHA NA IKULU.

Kilele cha Sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi Kitaifa ambazo zimefanyika Jijini Mwanza leo tarehe 01 Mei, 2021 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment