MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WAMCHAGUA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MWENYEKITI WA CCM LEO JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 30 April 2021

MKUTANO MKUU MAALUMU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WAMCHAGUA RAIS MHE SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MWENYEKITI WA CCM LEO JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia Tuzo yake ya Heshima na Pongezi aliyopewa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM leo tarehe 30 Aprili, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Picha namba 7a. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka mara baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM leo tarehe 30 Aprili, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano Mkuu wa CCM ambao Wajumbe wake Walimchagua kwa Kura zote za Ndiyo kuwa Mwenyekiti Mpya wa CCM leo tarehe 30 Aprili, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi wakifurahia ndani ya Ukumbi wa Mkutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM leo tarehe 30 Aprili, 2021 Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment