MV MWANZA KUKAMILIKA MWAKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 6 May 2021

MV MWANZA KUKAMILIKA MWAKANI

 

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Huduma za Meli Nchini (MSCL) Bw. Philemon Bagambilana akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Dkt. Leonard Chamuriho mara baada ya kukagua ujenzi wa Meli mpya ya Mv Mwanza hapa kazi tu.


Mafundi wa kampuni ya Ges Entec ya Korea ya Kusini wakiendelea na kazi ya kuchomelea sehemu ya Nje ya Meli ya Mv. Mwanza Hapa Kazi Tu, Ujenzi wa Meli hiyo unatarajiwa kukamilika Mwakani.


Muonekano wa Meli ya Mv -Mwanza Hapa Kazi tu unavyoendelea kujengwa na hadi sasa ujenzi wake umefikia asilimia 74 na unatarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2022.


No comments:

Post a Comment