Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35, mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na maingilio ya barabara ya Kawawa na Shekilango mkoani Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

|
Mandhari ya Barabara ya Shekilango km 3.7 iliyojengwa kwa njia 4, upana mita 22, njia za watembea kwa miguu, taa za Kisasa, mitaro ya maji na Bustani ili kupunguza msongamano wa magari kuanzia maungio ya barabara ya Morogoro na kupita mitaa yote ya Sinza mpaka maungio ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi mkoani Dar es Salaam ikiwa inapendeza mara baada ya ujenzi wake kukamilika. PICHA NA IKULU. |

No comments:
Post a Comment