![]() |
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Kiwanda cha ushonaji Bohari Kuu ya Jeshi la Polisi na kufungua Ofisi, Madarasa na Mabweni ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021. PICHA NA IKULU.
![]() |
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na wananchi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 26 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka kukagua Majengo ya Madarasa ya Chuo cha Taaluma cha Polisi Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kuyafungua leo tarehe 26 Februari 2021.

No comments:
Post a Comment